TEKU IS A HOME OF WISDOM AND PEACE..WELCOME ALL

LAPF WAENDESHA SEMINA KWA VIONGOZI WANAVYUO VYA TABORA; DR. TIBATEGEZA AFUNGUA SEMINA HIYO

DR. TIBATEGEZA ALIYESIMAMA AMBAYE NI MAKAMU MKUU WA CHUO CHA AMUCTA (CHUO KISHIRIKI CHA SAUT) AKIFUNGUA SEMINA YA MFUKO WA JAMII WA "LAPF"
DR. TIBATEGEZA AKITOA HOTUBA FUPI KWA WAWAKILISHI MBALIMBALI WA VYUO VILIVYOPO TABORA, HOTUBA YAKE FUPI ILIYOLENGA KUWAPA UFAHAMU WANACHUO HAO PINDI WACHAGUAPO MIFUKO YA KUJIUNGA WAWE MAKINI SANA ILI KUJIJENGEA UHAKIKA WAWAPO KAZINI KWA WATAKAO AJILIWA, PIA AMETOA WITO KWA WANALENGWA NA HAJA NA FAIDA ZA MFUKO HUO KUUPA KIPAUMBELE KAMA MIONGONI MWA FAIDA ZA KUFAIDISHA MAFANIKIO YA MAISHA YAO PINDI WAINGIAPO KAZINI
MR. RAMADHAN MGAYA, THE SENIOR COMPIANCE OFFICER-LAPF CENTRAL ZONE, AKIONGEA NA WANAVYUO KABLA YA SEMINA KUANZA
KULIA NI ZACHARIA MACHOKE-LAPF (ZONAL MANAGER, CENTRAL ZONE)
MKOOSI LORINYU, KAMISHNA WA TAHLISO KANDA YA MAGHARIBI, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA SERIKALI YA AMUCTA NA PIA NI MUAANDAJI WA SEMINA HII
WANAVYUO WAKIWA KATIKA SEMINA
KULIA: ELIFURAHA NA KULIA NI SPIKA WA BUNGE WA BUNGE LA SERIKALI YA AMUCTA
MWEZESHAJI WA SEMINA BW. MGAYA AKIKOKOTOA MAHESABU YA NAMNA MWANACHAMA ATAENDESHA MAHESABU YAKE
KUSHOTO: KALUNDE AMBAYE NI MAKAMU WA RAIS WA TEKU-TABORA
KATIKA PICHA YA PAMOJA
PICHA NA ALOYSONBLOG: http://www.aloyson.com/

****

HII NI SEMINA YA AWALI ALIYOALIKA VIONGOZI MABALIMBALI WA VYUO VYA TABORA AMBAO WAO WATAKUWA MABALOZI WA VYUO VYAO HUSIKA ILI KUANDA SEMINA ZA NDANI YA VYUO HIVYO.

SEMINA HII ILILENGA KUTOA UFAHAMU, FAIDA NA KUTOA WIGO WA WANAVYUO WENGI WATAKAOPATA AJIRA KUTAMBUA MIFUKO YENYE MANUFAA KWAO.