TEKU IS A HOME OF WISDOM AND PEACE..WELCOME ALL

CHECK OUT: MAZISHI YA SHARO MILLIONEA

Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae



Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....



Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari

Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...



Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...



Ndende

Magazeti Leo Jumatano 28th Novemba, 2012 haya hapa