TEKU IS A HOME OF WISDOM AND PEACE..WELCOME ALL

Chuo Cha Teofilo Kisanji (TEKU-MBEYA) Wawagaragaza Chuo Cha Mt. Agustino (SAUT-SONGEA)


wachezaji wa mpira wa pete kutoka chuo cha  TEKU kabla ya kuanza mchezo
wachezaji wa mpira wa pete kutoka chuo kikuu cha SAUT kabla ya mchezo
wachezaji wa SAUT na TEKU wakiendelea na mchezo wa mpira wa pete
wazezaji wa volleyball wakipambana katika uwanja wa zimanimoto
Baadhi ya mashabiki waliokuwa wakifuatilia pambano
Waamuzi wa pambano kati ya TEKU na SAUT mpira wa miguu
kabla ya kuanza mchezo
wachezaji SAUT
wachezaji TEKU

mashabiki wakishuhudia upigaji wa penati
************************************************************************************
Na songeayetu.blogspot.com 
WANAFUNZI wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) kutoka mkoani Mbeya wameweza kuichapa timu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt.Agustino tawi la Songea kwenye mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu uliofanyika katika uwanja wa Majimaji uliopo kwenye manispaa ya Songea.

Mchezo huo ulitanguliwa na michezo mingine ambapo awali kulikuwa na mchezo wa pete kwa wasichana ambapo TEKU waliweza kuilaza timu ya wasichana kwa jumla ya alama kumi na mbili kwa alama saba, huku mchezo mwingine ulikuwa ni mpira wa wavu ambapo SAUT waliweza kuishinda licha ya kupoteza michezo mingine miwili japokuwa wao wakiwa wenyeji wa mchezo huo.

Kwa upande wa mpira wa miguu, katika muda wa dakika tisini wachezaji hao waliweza kutoka bila kufungana na baada ya wachezaji hao kuhitaji mshindi apatikane ndipo walipoamua kupigwa kwa penati ambapo wachezaji wa SAUT waliweza kupoteza penati tatu huku TEKU wakipoteza penati moja kati ya penati tano zilizopigwa. 

UONGOZI MPYA WA TEKU TABORA CAMPUS WAAPISHWA CHINI YA JAJI MFAWIDHI MKAZI MKOANI TABORA

 Rais wa TEKUSO Baraka Mohamed aapishwa na Mh. Issa Magori hakimu mfawidhi mkazi mkoa wa Tabora
 Makamu wa Rais wa TEKUSO Kalunde Musa aapishwa na Mh. Issa Magori hakimu mfawidhi mkazi mkoa wa Tabora
 wakipongezana baada ya kuapishwa
 wapigiwa makofi kushangilia zoezi kukamilika
 kazi ya tume ya uchaguzi kuwapamba baada ya kuapishwa

 Mgeni rasmi (afisa elimu mkoa wa Tabora) akimpongeza rais baada ya kuapishwa na kulia ni "dean of students"

wajitokeza kumpongeza rais wao

 akipokea zawadi ya cheti kama zzawadi kwa serikali ya uongozi uliopita


 Nziku
 Mwasity
 akipokea cheti cha kuwa katibu wa serikali iliyopita


 kutoka kulia ni rais, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya jamii wote kutoka TUMBI chuo cha kilimo

 Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa
 Kulia ni Rais Baraka Mohamed, mgeni rasmi afisa wa elimu mkoa wa Tabora, Kalunde Musa na dada wa rais
 Rais na Makamu wa Rais
 Mgeni rasmi (kulia) na Issa Migori hakimu mfawidhi mkazi
Kushoto ni Kitururu (CHAIRPERSON ,TEKUSO TEKUSO ELECTORAL COMMITTEE.



 SERIKALI MPYA YA TEKU PAMOJA NA SERIKALI WAWAKILISHI WA SERIKALI YA TUMBI
 wapili kutoka kushoto ni rais wa chuo cha ardhi Tabora
 ******************************************

RAIS MPYA TEKUSO 2012/2013 (TABORA COLLEGE)

 RAIS TEKUSO
 MAKAMU WA RAIS TEKUSO
 MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI KABLA YA KUHESABU KURA
 MASANDUKU YA KURA



 WAKISUBIRI MATOKEO YA UCHAGUZI

CHECK OUT: MAZISHI YA SHARO MILLIONEA

Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae



Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....



Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari

Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...



Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...



Ndende