Rais wa TEKUSO Baraka Mohamed aapishwa na Mh. Issa Magori hakimu mfawidhi mkazi mkoa wa Tabora
Makamu wa Rais wa TEKUSO Kalunde Musa aapishwa na Mh. Issa Magori hakimu mfawidhi mkazi mkoa wa Tabora
wakipongezana baada ya kuapishwa
wapigiwa makofi kushangilia zoezi kukamilika
kazi ya tume ya uchaguzi kuwapamba baada ya kuapishwa
Mgeni rasmi (afisa elimu mkoa wa Tabora) akimpongeza rais baada ya kuapishwa na kulia ni "dean of students"
wajitokeza kumpongeza rais wao
akipokea zawadi ya cheti kama zzawadi kwa serikali ya uongozi uliopita
Nziku
Mwasity
akipokea cheti cha kuwa katibu wa serikali iliyopita
kutoka kulia ni rais, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya jamii wote kutoka TUMBI chuo cha kilimo
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa
Kulia ni Rais Baraka Mohamed, mgeni rasmi afisa wa elimu mkoa wa Tabora, Kalunde Musa na dada wa rais
Rais na Makamu wa Rais
Mgeni rasmi (kulia) na Issa Migori hakimu mfawidhi mkazi
Kushoto ni Kitururu (CHAIRPERSON ,TEKUSO TEKUSO ELECTORAL COMMITTEE.
SERIKALI MPYA YA TEKU PAMOJA NA SERIKALI WAWAKILISHI WA SERIKALI YA TUMBI
wapili kutoka kushoto ni rais wa chuo cha ardhi Tabora
******************************************