Pricipal wa chuo cha TEKU TABORA CAMPUS akitolea maelezo katika ufunguzi wa kikao.
Principal
Makamu wa chuo upande wa utawala na fedha
Makamu wa chuo upande wa taaluma
wanachuo wakisikiliza kwa umakini mkubwa kabisa
Katibu wa serikali ya wanafunzi anaapishwa
Sahihi kukubali kiapo
Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi anaapishwa
Rais wa serikali ya wanafunzi anaapishwa
Akidondoka na sahihi kukubali kiapo
Rais akiongea machache na wanachuo, asisitiza ushirikiano kama nguzo ya umoja na mshikamano utakaowafanya kufikia dira na malengo yao pamoja
Mwanachuo akiuliza swali kwa Principal
Principal wa chuo ameeleza mafanikio makubwa ambayo jamii itarajie kuyapata kupitia uwepo wa chuo hiki hapa Tabora, ameeleza kuwa nidhamu, heshima na bidii ndiyo itakayozaa matunda mazuri kitaaluma na kukitangaza vyema chuo hiki.
Pia amesema chuo kinatarajia kupokea zaidi ya wanafunzi 500 kwa degree ya kwanza mnamo mwezi wa 10, aliongeza kwa kutangaza kuwa mafunzo ya degree ya pili yanaanza mwaka huu kwa kozi za Education pia Business Administration.
PICHA NA ALOY SON BLOG.
No comments:
Post a Comment